Tuesday, January 06, 2009

katika karne hii ambayo kila nyumba unayoingia unakuta
runinga, kikokotozi na simu za mkononi, ni vigumu sanakukuta
watoto wakijisomea vitabu wakati wa jioni kama hawa.
Nilijikuta nikitoa simu yangu na kuipiga picha hii hata
kabla sijabisha hodi!

2 comments:

John Mwaipopo said...

Gone are those days! When we used to narrate to each other the segments of Chinua Achebe's and Ngugi wa Thiong'o's books. Nowadays these educative scenes have been translated to soap operas of Isidingo and the like.

Anonymous said...

Ni kweli kabisa Mdau John! Utamaduni wa kusoma umechukuliwa na Isidingo, Second Chance na nini tena sijui. Kaaz kwel kwel!