Wednesday, March 26, 2008


Inaelekea kampuni ya umeme nchini TANESCO wamechoshwa na vitendo vya wizi wa mafuta kwenye transfomer zao. Ndio maana hii moja wameamua kuijengea kibanda cha saruji na nondo kwenye mtaa mmoja pale Magomeni Mapipa, Dar.
Posted by Picasa

No comments: