Friday, June 27, 2008


Mitaa ya Uswazi ambapo nyakati za jioni hugeuzwa kuwa 'National Stadium' kwa ajili ya mechi za Chandimu huku wachezaji wakilazimika kupiga chenga magari yanayotumia barabara husika wakati mechi ikiendelea!
Posted by Picasa