Thursday, April 23, 2009

Hivi bado tunatafuta 'Vazi la Taifa'?
Mama Yetu wa Kwanza ameishatupa Jibu!

Picha kwa Hisani ya issamichuzi.blogspot

Tuesday, April 21, 2009


...Wale wa Kigamboniii!!....Wale wa Zenji..!! Michumaa hiyooo, inaondoka!!!
Posted by Picasa

Hapa sio Tunduru wala Mwanamilato bali ni Katikati ya jiji la Dar Es Salaam eneo la Jangwani ambapo inaponyesha mvua mambo huwa hivi kwa wale wanaotaka kuchukua shortcut!
Posted by Picasa
Posted by Picasa