Tuesday, April 21, 2009


...Wale wa Kigamboniii!!....Wale wa Zenji..!! Michumaa hiyooo, inaondoka!!!
Posted by Picasa

3 comments:

Christian Bwaya said...

Chesi,

Nimepita hapa mahsusi kuweka saini katika kitabu chako cha wageni.


Napenda sana staili ya uandishi wako. Unaandikaga mambo mazito kwa lugha nyepesi, inayochangamsha na kufurahisha.

Nakupa tano mkubwa angu.

chesi said...

...Bwaaya, nakushukuru kwa 'fagio'!
Nami naomba uchukue zangu Tano!

irawan loris said...

PIAOHONG SHUANG adalah cream pemerah bibir alami sangat cocok untuk perokok berat