chesi mpilipili - sauti ya mtu aliaye nyikani...
Monday, December 27, 2010
Siku hizi kwenda kwetu ni Starehe! Mabasi kama Ndege vile! Twaja lheo twaondoka lheo lheo!
Hapa ndio Jikoni penyewe katika masuala ya mawasiliano. Si haba.
Kweli Mchina kaleta mambo!
Safari ya kupeleka Bidhaa mikoani usiku wa kuamkia sikukuu ya Krisimasi imeishia Mbezi kwa Yusufu kwenye Mtaro!
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)