Arusha tusiyoifahamu: Majengo!
Kiashirio cha 'Shughuli'...!
Sijui kwa nini ninapowaambia watu kwamba hii ndiyo hali ninayokumbana nayo ninapozunguka nyuma ya nyumba niishiyo hapa Mbezi wananiambia ati sikai Darisalama!
Mambo ya kisasa yanaenda yakiongezeka! Kiwanda kipya na cha kisasa cha uchapaji magazeti, vitabu, majarida, vipeperushi, madaftari na kadhalika kilichofunguliwa hivi karibuni huko Mapia, Bagamoyo.
Biashara Matangazo! Kwa hisani ya Michuzi Blog
Wiki hii huku Mbezi kwetu tumeamka na Ukungu huu. Umenikumbusha sana kwetu Usambaani!
Stendi yetu mpya ya Daladala imeshika kasi. Karibuni tutaanza kujidai!
Maporomoko wa 'Mto Zambezi' wetu wa Mbezi baada ya Mvua ya dakika 45 tu!
Michael Owen wa Manchester United wa Mbezi mwisho akivua samaki kwenye Mtaro wa maji machafu eneo la Mbezi Shamba