Tuesday, January 06, 2009

katika karne hii ambayo kila nyumba unayoingia unakuta
runinga, kikokotozi na simu za mkononi, ni vigumu sanakukuta
watoto wakijisomea vitabu wakati wa jioni kama hawa.
Nilijikuta nikitoa simu yangu na kuipiga picha hii hata
kabla sijabisha hodi!