Hivi bado tunatafuta 'Vazi la Taifa'? Mama Yetu wa Kwanza ameishatupa Jibu!
Picha kwa Hisani ya issamichuzi.blogspot
Tuesday, April 21, 2009
...Wale wa Kigamboniii!!....Wale wa Zenji..!! Michumaa hiyooo, inaondoka!!!
Hapa sio Tunduru wala Mwanamilato bali ni Katikati ya jiji la Dar Es Salaam eneo la Jangwani ambapo inaponyesha mvua mambo huwa hivi kwa wale wanaotaka kuchukua shortcut!