Tuesday, May 20, 2008



Bumbuli Mission Hospital na Chuo cha Waganga Bumbuli MATC, kushoto, iliyojengwa na wamisionari kutoka Ujerumani mwanzoni mwa miaka ya 60 ni miongoni mwa vivutio vinavyofanya kijiji cha Bumbuli kufahamika kama Bumbuli City!
Posted by Picasa

14 comments:

Anonymous said...

Duh mzee uipatiehii inu picha?? inu sia iita msasa haja he kona aha ishi ni montuary na ishi kabisa ha uyu mdee ni hosteli ya wasaidizi wa watamu
Haya endeeza libeneke ubue mpaka salemu ha mzee mndevu miundi ishiini ubue haja henyu. sio???

Anonymous said...

Naomba msaada ndugu yangu, nina jamaa yangu mmoja anaitwa abdul Hoza zamani zile za 1996 alifanya kazi guardian wanapochapisha gazeti la nipashe, sijamuona muda kidogo, wakati fulani alipata kazi kwa wakimbizi akarudi, baadae kidogo akapata kazi wazarani.
Naomba msaada tutani
Niliwahi kwenda kuhiji milimani nikaona mtu amefanana naye, kweli watu wawili wawili

Anonymous said...

haya mghoshi, niona ungwe'nyezi wa uo mzi! Uzahateia vyedi.uyo ni mkazangu, ni nkimuonyesha ndiko tikiita kwaanga jumapii!

Sina uhakika, Hozza yuko wapi sasa hivi lakini nitajitahidi kumuulizia na nitakapopata chochote nitakujulisha kupitia email yako! haya, ti haha!

Anonymous said...

oooh imi kwetu ni BBL sana miundi saasini kulawa aho mkazio aiho heitangwa msasa, Hoza nzamuona nkundie du npate stori, mndughu wangu ukimuona waadaha kuia.
Nzee Siti niwedi, nzamuona mishi mingi kidogo yuko bado sharp ila Hebert Noah na John Kabwanga mpombe neiwakome

Anonymous said...

oooh imi kwetu ni BBL sana miundi saasini kulawa aho mkazio aiho heitangwa msasa, Hoza nzamuona nkundie du npate stori, mndughu wangu ukimuona waadaha kuia.
Nzee Siti niwedi, nzamuona mishi mingi kidogo yuko bado sharp ila Hebert Noah na John Kabwanga mpombe neiwakome

Anonymous said...

Haya week end njema
Hotline yangu ni 0784 800386

Anonymous said...

Kwakwei niitamiwe imi kuona kuti kuna wekumbuka na kuandika mbui za Bumbui. Zumbe akuhe nguvu!

Unknown said...

Mpilipili umeniweza kweli kweli. Unajua nilipokua mdogo sana niliishi hospitali ya Bumbuli ambapo mzee wangu alikuwa mganga miaka ile ya ukoloni. Kati ya 1955-60. Mara moja moja picha hunijia kichwani maana nlikuwa dogo dogo kabisa. Sasa wewe kuiweka picha hii hapa ni kama umefukua kitabu cha historia. Huu ndiyo uzuri wa hizi blogu...magazeti mara chache sana yatachimba vichuguu vya aina hii.

Anonymous said...

Oiii, uncle Mpipii uzan'tamia kwei kabisa mwe unu mshi wa lelo, hongea mia ukitiikia mama aho(mrs mpilipili)tena aghooke mwe sia yeita kwetu kabisa, ambako tate neeavyeiwekwo(msasa), mame aho miaka ija ya tisini ne akikundisha sana hadisi zako za mwe gazeti mpaka lelo nighambe! angwe uyu mbwanga tiawa bumbui tosheni naamteia hata wavyazi wakwe naawateila vyedi... ushe maa, mame aawa na dule na tate ni ng'wana marehemu muishi na wau yudia kusaga haja msasa kabisa. Tiawa hale...kwakwei nzakumbuka memory ntana sana aho mwe iyo sia ya kwa madevu uja mzungu ngwa...halafu haja hehi hehi ha kina gidioni...great great memories, my the almighty lord rest my grandpa and grandma's souls in eternal peace. Amen...
Ni mio mdau wako mjomba!!

Anonymous said...

Shejawana! Nami ni zatamiwa sana hongea Zumbe, maana leo nizakumbuka kaya sana, niheinuka makeo nenikisearch habari za bumbui. Tikundighwa kdocument sana mambo ya bumbui. Haya Mpilipili nitakuandikia nimeona picha yako hapa.

Anonymous said...

huyo mdau wako wa last but one ni mtu asiyejua mambo, hawezi kumuita mjukuu wa mteghanyi kighobo kuwa hapo kwa Gideon, anamfahamu vizuri lakini au alihadithiwa, sawa na amuite mzee wetu Mpilipili aho ha fwidiishi
Imenikera sana
Kwanza hakuna mtu mwenye mtoto aliyezaliwa msasa,wote ni wakuja msasa huyu atasemaje baba yangu kazaliwa msasa, waliozaliwa msasa ni wa kuanzia 1972

Kama anajua vizuri msasa alete mada nitamjibu

chesi said...

Pole Mdau! Hata mimi ilibidi nimuulize maswali mawili matatu ndipo akanifahamisha kuwa yeye alikuwa anaishi Msongolo ila kwenye miaka ya mwanzo ya 70/73 alikuwa akisoma Maduda na tokea alipoondoka huko hajarudi tena ila huwa anapita tu kwenda kwao na hao watu anaowataja anawajua kwa jinsi alivyowajua miaka hiyo! Pole sana Kwa Kukukwaza.

Anonymous said...

du bonge ya lugha mwitu inatembea humu. ifunuguye itiki ibise, kana ka nsungu umweru no iroro mio mwehe! Qoboqoti ihumwe ça nyikaan nyiho!

Anonymous said...

...ha ha ha!! wee Anony wa 02:13 umenichekesha! Lakini na wewe hicho kikwenu si haba!!!