Sunday, February 22, 2009


MADUDA: Hii ni shule mashuhuri sana 'Bumbuli City' ambayo
Wasomi wote wa miaka ya 50 hadi 70 wa 'jiji' hilo walisoma hapo
wakati huo ikijulikana kama 'Maduda Upper Primary School'
ikiwa na madarasa kutoka la Tano hadi la Saba.
Sasa hivi ni Shule ya Sekondari.

1 comment:

Anonymous said...

OOOH!! Maduda Shule Yangu! Umenikumbusha mbali saaana. Asante chesi!