hapa ndiko alikozaliwa yule mwenyekigoda wa kamati ya bunge ya maji,umeme, richmond,dowans, kiwira,mchuchuma, kwa vyovyote mstaafu EL akikiona kijiji hiki anatamani akipige moto. nikipata kapesa nitarudi nikueleze nyumba moja baada ya nyumba na watu wanaotoka kwenye hizo nyumba ambao wapo dar,arusha hata nje ya nchi
mmmm, Mkuu nadhani huyu hili ni jimbo lake la uchaguzi tu! kama sikosei yeye kwao ni mlalo a few kilometres kutoka hapo Bumbuli City! Duh, mzee Chesi unakifagilia kweli kijiji chenu!! City??!!
sawa mdau,unamjua mzee Hezekiah? yule mzee aliyekuwa anavaa kofia kama ya mbunge wa ilala? unajua kuwa asili yao ni mlalo lakini alijenga nyumba BBL alikokuwa anafanya kazi na alifia BBL na aliacha watoto na wajukuu BBL hivyo pale alipojenga ndio kwa mh.ila asili yao kweli ni mlalo, hata huko mlalo hawana hata nyumba ila wana ndg tu na hata akienda huko mh sidhani kama analala maana kwa kifupi ni asili tu,ila nia yangu sio kujua ni kwao au vipi ilikuwa ni kuwajuvya watu kuwa hapo ndio anatoka mh
mimi naishi unguja kwa sasa,kiembesamaki nafanyakazi kibandamaiti karibu na Uwanja wa ,Dar naishi Goms nasikia leo wameandamana kwa ajili ya kukashifiwa na mkuu wa Dsm kuwa nyie mbagala acheni kulalamika hamjazoea tu milio ya mabom mbona wenzenu wa uwanja wa ndege wamezoea kelele za ndege, kweli wakuu wetu hawanazo. huyu kaja juzi tu keshachemsha.Acha tuache hizo, sasa BBL ndio kwetu kwa sababu tumejenga na tuna ishi huko, ila asli na nilikozaliwa ni Shee(kama msambaa kweli utajua)lakini hukunitendea haki mara mbili. 1.Hujanipa habari za Stewart 2.Habari za Abdul Hoza
Nilikupa taarifa zao huko nyuma labda hukuziona. Abdul Hoza yuko Bumbuli ana duka la jumla na Stewart ni mstaafu na sasa ni mkulima hapo hapo kijijini na pia kumiliki hoteli iitwayo Banana Hotel hapo stendi Bumbuli!
abdulhoza ninayezungumza mimi alikuwa anafanyakazi the guardian ltd na mhasibu mzuri tu ndo huyo yuko BBL ana duka?? pale kwa ndugu zake wale walikuwa na TAIFA BUS??
12 comments:
hapa ndiko alikozaliwa yule mwenyekigoda wa kamati ya bunge ya maji,umeme, richmond,dowans, kiwira,mchuchuma, kwa vyovyote mstaafu EL akikiona kijiji hiki anatamani akipige moto.
nikipata kapesa nitarudi nikueleze nyumba moja baada ya nyumba na watu wanaotoka kwenye hizo nyumba ambao wapo dar,arusha hata nje ya nchi
mmmm, Mkuu nadhani huyu hili ni jimbo lake la uchaguzi tu! kama sikosei yeye kwao ni mlalo a few kilometres kutoka hapo Bumbuli City! Duh, mzee Chesi unakifagilia kweli kijiji chenu!! City??!!
sawa mdau,unamjua mzee Hezekiah? yule mzee aliyekuwa anavaa kofia kama ya mbunge wa ilala? unajua kuwa asili yao ni mlalo lakini alijenga nyumba BBL alikokuwa anafanya kazi na alifia BBL na aliacha watoto na wajukuu BBL hivyo pale alipojenga ndio kwa mh.ila asili yao kweli ni mlalo, hata huko mlalo hawana hata nyumba ila wana ndg tu na hata akienda huko mh sidhani kama analala maana kwa kifupi ni asili tu,ila nia yangu sio kujua ni kwao au vipi ilikuwa ni kuwajuvya watu kuwa hapo ndio anatoka mh
samahani mdau huyo mzee niliyemtaja mwanzo ndio baba mzazi wa mh
Mkuu, naona wewe ni 'Born There There' wa Bumbuli City! Sijui kipande ipi ama 'boma' gani???
mimi naishi unguja kwa sasa,kiembesamaki nafanyakazi kibandamaiti karibu na Uwanja wa ,Dar naishi Goms nasikia leo wameandamana kwa ajili ya kukashifiwa na mkuu wa Dsm kuwa nyie mbagala acheni kulalamika hamjazoea tu milio ya mabom mbona wenzenu wa uwanja wa ndege wamezoea kelele za ndege, kweli wakuu wetu hawanazo. huyu kaja juzi tu keshachemsha.Acha tuache hizo, sasa BBL ndio kwetu kwa sababu tumejenga na tuna ishi huko, ila asli na nilikozaliwa ni Shee(kama msambaa kweli utajua)lakini hukunitendea haki mara mbili.
1.Hujanipa habari za Stewart
2.Habari za Abdul Hoza
samahani karibu na AMANI STADIUM
Nilikupa taarifa zao huko nyuma labda hukuziona. Abdul Hoza yuko Bumbuli ana duka la jumla na Stewart ni mstaafu na sasa ni mkulima hapo hapo kijijini na pia kumiliki hoteli iitwayo Banana Hotel hapo stendi Bumbuli!
abdulhoza ninayezungumza mimi alikuwa anafanyakazi the guardian ltd na mhasibu mzuri tu ndo huyo yuko BBL ana duka?? pale kwa ndugu zake wale walikuwa na TAIFA BUS??
Naam, ndiye huyo huyo!
Najaribu tukodoa macho angalau nipaone kwetu Dochi nimeshindwa Chesi nimefurahi kupaona hapa maeneo.
Dommy
...Endelea kuchungulia chungulia hapa, kuna siku utaiona tu Dochi! Ubarikiwe.
Post a Comment