Mambo ya Uswahilini! Kunapokuwa na sherehe mahali basi spika zinatundikwa kwenye nguzo za umeme!Hatari Tupu!
1 comment:
Anonymous
said...
Hao inabidi wapewe medali. Two medals! Huu ni wakati mgumu ambapo contingency plans hutumika ili kuokoa gharama. Kwa nini waingie gharama zisizo na mpango kama wanaona njia mbadala za kufanya kitu kilekile pasipo gharama au kwa gharama chee? Hao wa2 inabidi wawekwe serikalini badala ya kubezwa, inji yetu itaendelea. Mjenga inji ni mwanainji. Umenisoma anko chesi m22?

Post a Comment