Tuesday, June 23, 2009


Wakati Waya unaopita chini ya bahari wa Fibre Optic unategemewa kurahisisha mawasiliano ya Internet kwa kiasi kikubwa, Mchoraji Gado ana wasiwasi....!

Picha/Kibonzo kwa Hisani ya Gado.
Posted by Picasa

1 comment:

Anonymous said...

Duh hilo ni bonge la mbembe! Lakin poa tu, hayo ndo mambo ya umatumbini kwetu.