nimefuatilia picha zako kuazia kibao cha kwenda vuga,mandhali ya mombo korogwe na kuona basi letu la siku hizi ukiacha Taifa Bus na Katiba Bus Service enzi zile za mwalimu,inanipa picha kuwa umetoka kupata kavekesheni kule kwetu,je hawajambo wote? stewart,John Kabwanga,Mzee Dili pale stand na wengine. nawamisi a lot, nikipata nauli nitakwenda kuwajulia hali
DSSalaam bwana mzee,na pole kwa kuendeleza libeneke sio kuendekeza libeneke. Katika coment yangu hapo juu nilikuuliza habari za Siti na John Kabwanga,ukanijibu kuwa umewakuta ha hawajambo.Taarifa za jana ni kuwa John Kabwanga amezikwa jana 15/07/2009 ametwaliwa juzi 14/07/2009. Tumshukuru MUNGU kwa kila jambo, bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. AMEN
3 comments:

...Nilienda kwenye shughuli ya msiba. Wote nimewakuta na hawajambo.

Post a Comment