Monday, April 03, 2006

salamu, bloggerz. mimi ni mpya hapa na ndio kwanza nafungua blogg yangu. maelezo mengine yanafuata.

2 comments:

severine said...

KARIBU TUNAKUSUBIRI KWA HAMU SAANA MZEE CHESI

Rashid Mkwinda said...

Naamini ujio wa nguli huyu katika Blogu utaleta changamoto ya aina yake ndani ya Blogu, Karibu mzee katika Gaeti Tando hili naamini tutakuwa sote katika kuchangiana mawazo kwa mabo anuai yanayoizunguka jamii.

Wakatabahu