Down town 'Bumbuli City'...!
Wamisionari wa Kijerumani walichangia sana kuvipa vitongoji vya 'jiji' hili majina kutoka kwenye Biblia. Huo mtaa unaopanda juu unaitwa Nazareth. Mbele zaidi kulia chini ni Bethlehemu. Ukirudi huku chini ukienda kushoto ni Bethania, Bethfage na Yudea na ukienda kulia ni Jerusalem 'Salem' na mbele zaidi, Syria. Kwa hakika, unapotembea kwenye mitaa ya Bumbuli ni kama vile unatembea ndani ya Biblia!
3 comments:
bro picha kama hizi endelea kutuwekea manake sisi tupo ughaibuni tumeshamiss sana mazingira ya vijiji vyetu big up sana
I love this picture..
Mdau
zaman sana nmekua hapo....missing sana Bumbuli .........PAULA ALBERT D.........
Post a Comment